Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani
28/02/2025 Duration: 07minFrom "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.
-
Taarifa ya Habari 28 Februari 2025
28/02/2025 Duration: 16minWanasiasa wakuu wa Australia wamesema hatma ya mkataba wenye thamana yama bilioni ya dola na Marekani ume hakikishwa, baada ya Rais Donald Trump kuonekana nikama amesahau jina la mkataba huo wa nchi tatu zinazo jumuisha Uingereza.
-
Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono"
28/02/2025 Duration: 07minWangeci Kones alikuja Australia akiwa na matumaini yakutumia shahada yake ya masoko, katika kazi sawia na alivyo kuwa akifanya nchini Kenya.
-
Taarifa ya Habari 28 Februari 2025
27/02/2025 Duration: 06minKiongozi wa upinzani ame mkosoa waziri mkuu kwa kufeli kuwa wazi kuhusu wakati jeshi la ulinzi lili pewa taarifa kuhusu mazoezi ya China katika Bahari la Tasman.
-
Jinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi
25/02/2025 Duration: 13minShughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.
-
Taarifa ya Habari 25 Februari 2025
25/02/2025 Duration: 20minWaziri Mkuu amesema serikali ya shirikisho inapitia bajeti "mstari kwa mstari" kupata jinsi yakuwekeza ahadi yake ya Medicare.
-
Anthony Albanese azindua jeki ya kihistoria ya thamani ya $8.5 bilioni ya matibabu bila malipo
25/02/2025 Duration: 07minWaziri Mkuu Anthony Albanese, Jumapili mchana alizindua ahadi yaki historia kwa Medicare, kama lengo la kampeni ya uchaguzi mkuu wa shirikisho wa 2025 wa chama cha Labor.
-
Taarifa ya Habari 24 Februari 2025
24/02/2025 Duration: 06minChama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao ihitaji zaidi.
-
Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali"
24/02/2025 Duration: 09minMwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake kwa lengo lakujuliana hali nakupanga malengo ya mwaka.
-
Taarifa ya Habari 20 Februari 2025
20/02/2025 Duration: 07minMkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaoni, na ame ongezea kuwa makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yana nafasi kubwa yaku zuia shughuli hizo, kwa kutumia vifaa vinavyo wezesha bidhaa zao.
-
Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni
19/02/2025 Duration: 14minKutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni?
-
Taarifa ya Habari 18 Februari 2025
18/02/2025 Duration: 21minOnyo limetolewa kuhusu matokeo ya kura ambayo matokeo hayo ya karibu huenda yasi mulike kura zawa Australia.
-
Uchomaji wakitamaduni: kutumia moto kulinda dhidi ya moto na kufufua Nchi
18/02/2025 Duration: 15minKuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho.
-
Taarifa ya Habari 17 Februari 2025
17/02/2025 Duration: 08minKiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi.
-
Taarifa ya Habari 13 Februari 2025
13/02/2025 Duration: 06minWaziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.
-
Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume
12/02/2025 Duration: 15minWanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.
-
Taarifa ya Habari 11 Februari 2025
11/02/2025 Duration: 17minKundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia.
-
Jinsi ya kuandaa ombi la kazi
11/02/2025 Duration: 10minUnapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
-
Taarifa ya Habari 10 Februari 2025
10/02/2025 Duration: 08minHesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.
-
Nanga "Tutaweka polisi wa taifa, utawala, na mfumo wa haki”
10/02/2025 Duration: 07minWaasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.