Sbs Swahili - Sbs Swahili
Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:06:44
- More information
Informações:
Synopsis
Wikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa mbali mbali. Tamasha hilo lililoandaliwa Federation square, liliwaleta Pamoja maelfu ya wakaazi wa Melbourne na wageni kutoka majimbo tofauti, wote wakikusanyika kusherehekea urithi na utambulisho wa Kiafrika.