Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 13 Februari 2025
13/02/2025 Duration: 06minWaziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.
-
Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume
12/02/2025 Duration: 15minWanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.
-
Taarifa ya Habari 11 Februari 2025
11/02/2025 Duration: 17minKundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia.
-
Jinsi ya kuandaa ombi la kazi
11/02/2025 Duration: 10minUnapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
-
Taarifa ya Habari 10 Februari 2025
10/02/2025 Duration: 08minHesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.
-
Nanga "Tutaweka polisi wa taifa, utawala, na mfumo wa haki”
10/02/2025 Duration: 07minWaasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.
-
Taarifa ya Habari 7 Februari 2025
07/02/2025 Duration: 19minSerikali ya Wilaya ya Kaskazini ime fikia makubaliano ya thamani yama milioni ya dola na mashirika yawa Australia wa kwanza, kutoa huduma kwa maeneo ya vijijini.
-
Jinsi ya kupata Malipo ya Likizo ya Wazazi nchini Australia
07/02/2025 Duration: 12minNchini Australia, baadhi ya wazazi wanaweza pokea malipo ya likizo ya wazazi kutoka serikali na waajiri wao. Ila si kila mtu ana stahiki.
-
Taarifa ya Habari 6 Februari 2025
06/02/2025 Duration: 07minNchi zaki Arabu, Umoja wa Mataifa na washirika wakaribu wa Marekani wamekosoa pendekezo la Donald Trump kuchukua ukanda wa Gaza, naku tawanya wa Palestina kuwa hatua hiyo ita yumbisha kanda hiyo na kudhoufisha juhudi zakupata suluhu ya nchi mbili.
-
Taarifa ya Habari 4 Februari 2025
04/02/2025 Duration: 19minWanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.
-
Ongezeko ya gharama ya shule yalazimisha baadhi ya familia kufanya maamuzi magumu
04/02/2025 Duration: 09minMwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.
-
Taarifa ya Habari 3 Februari 2025
03/02/2025 Duration: 07minWaziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni sehemu ya hatua za serikali dhidi ya mashambulizi dhidi ya ubaguzi wa wayahudi pamoja na uhalifu wa chuki.
-
Bw Omari "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa"
03/02/2025 Duration: 11minHali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shinikizo kubwa.
-
Taarifa ya Habari 31 Januari 2025
31/01/2025 Duration: 18minSerikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema uwekezaji huo utawasaidia wanafunzi, wafanyakazi pamoja na familia.
-
Rais Tshisekedi awarai vijana wajiunge na jeshi kupambana na M23
31/01/2025 Duration: 06minRais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC"
28/01/2025 Duration: 10minMilipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.
-
Taarifa ya Habari 28 Januari 2025
28/01/2025 Duration: 19minMweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya gharama ya maisha wanayo hitaji sana.
-
Shinikizo ya gharama yamaisha yafanya wanafunzi wasajiliwe katika shule za umma
28/01/2025 Duration: 07minMwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili wanatarajia kurejea shuleni kesho Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.
-
Tundu Lissu ashinda uchaguzi wa uongozi wa CHADEMA
24/01/2025 Duration: 07minChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetua kiongozi wake mpya kuelekea uchaguzi Mkuu wa urais wa mwezi Oktoba.
-
Taarifa ya Habari 24 Januari 2025
24/01/2025 Duration: 18minMweka hazina Jim Chalmers amesema makato ya ushuru ya serikali yame leta utofauti kwa walipa ushuru, wakati matokeo ya kura ya maoni yanaonesha ongezeko la hali yaku kata tamaa kuhusu afueni ya gharama ya maisha.