Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023
07/11/2023 Duration: 21minSerikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.
-
Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili
07/11/2023 Duration: 07minMelbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.
-
Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi
03/11/2023 Duration: 12minWakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.
-
Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023
03/11/2023 Duration: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia katika taifa hilo la Asia tangu 2016.
-
Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan
02/11/2023 Duration: 05minTimu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
-
Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao
02/11/2023 Duration: 04minTimu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
-
Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023
31/10/2023 Duration: 21minWaziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shirikisho.
-
Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji
31/10/2023 Duration: 08minWapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.
-
Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"
31/10/2023 Duration: 12minWakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
-
Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023
27/10/2023 Duration: 17minVita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.
-
Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa
26/10/2023 Duration: 13minWakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.
-
Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023
24/10/2023 Duration: 19minWa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.
-
Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili
24/10/2023 Duration: 11minUgonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.
-
Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria
21/10/2023 Duration: 10minWakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.
-
Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023
20/10/2023 Duration: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, wakati chama cha Labor cha Australia kina sisitiza hakija gawanyika kwa sababu ya mgogoro kati ya Israel na Hamas.
-
Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"
20/10/2023 Duration: 12minKiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.
-
David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum
20/10/2023 Duration: 10minWanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.
-
Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023
17/10/2023 Duration: 15minSerikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.
-
Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La'
17/10/2023 Duration: 07minWa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.
-
Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023
16/10/2023 Duration: 06minWa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.