Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 16 Julai 2023
16/07/2023 Duration: 19minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ame ondoka nchini usiku wa leo aki elekea nchini India, ambako atawakilisha Australia katika mikutano ya G-20 mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu mjini Gandhinagar.