Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Bw Ary "tunataka onesha utamaduni na mchango wetu katika jumuiya ya Australia"
05/12/2023 Duration: 10minWana jumuiya yawa Tanzania wanao ishi mjini Melbourne, Victoria wanajiandaa kushiriki katika sherehe kubwa ya uhuru wa taifa lao pendwa.
-
Taarifa ya Habari 4 Disemba 2023
05/12/2023 Duration: 06minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amelaani anacho elezea kuwa ongezeko la mashambulizi dhidi ya wayahudi nchini Australia, tangu mwanzo wa mapigano mapya kati ya Israel na Hamas.
-
Hezron "watu wengi wamepata makaazi, ajira na huduma nyingi kupitia Kokwet"
05/12/2023 Duration: 06minViongozi wa jumuiya ya Kokwet wali wa andalia wanachama wao hafla maalum, ambako walichangia vyakula, walifanya maonesho ya mitindo nakumaliza sherehe kwa miziki ya asili yao.
-
Taarifa ya Habari 1 Disemba 2023
01/12/2023 Duration: 18minViongozi wakisiasa wame waomba wa Australia waungane na waoneshe huruma hapa nyumbani, wakati mivutano inaendelea kuongezeka kwa sababu ya hali inayo endelea katika ukanda wa mashariki ya kati.
-
Brian "nita ongeza juhudi kusaidia jumuiya yangu katika kila hali"
01/12/2023 Duration: 04minShirika la Kokwet lili andaa mashindano ya wanamitindo mjini Sydney siku chache zilizo pita.
-
Taarifa ya Habari 30 Novemba 2023
01/12/2023 Duration: 06minMaafisa wa Australia wana endelea kuwasaidia watu 67 wanao taka ondoka Gaza ila, wanasema hali huko ni mbaya katika siku ya mwisho ya kusitishwa kwa muda kwa vita.
-
Australia ya Elezewa: Unawezaje tupa nguo ambazo hautaki nchini Australia?
01/12/2023 Duration: 12minJe unajua wa Australia hutupa zaidi ya tani 200,000 ya nguo kila mwaka?
-
Taarifa ya Habari 28 Novemba 2023
28/11/2023 Duration: 18minUpinzani wa shirikisho unaendelea kuikosoa serikali baada ya hukumu ya mahakama kuu, kuamuru kuwa kuweka watu ndani ya vizuizi vya uhamiaji kwa muda usiojulikana nchini Australia ni kinyume cha sheria.
-
Australia ya elezewa: Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?
28/11/2023 Duration: 12minIkiwa mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, ikiwa ilifanyika hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.
-
Taarifa ya Habari 27 Novemba 2023
27/11/2023 Duration: 06minMateka 17 wa Israel wame achiwa huru na wafungwa 39 waki Palestina nao pia wame achiwa huru katika siku ya tatu ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na Hamas.
-
Unahudhuria au ni mwenyeji wa sherehe yaki Australia? Haya ndiyo unahitaji jua
27/11/2023 Duration: 10minHakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.
-
Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu"
27/11/2023 Duration: 09minWanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.
-
Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023
24/11/2023 Duration: 19minWaziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.
-
Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia
24/11/2023 Duration: 06minTimu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.
-
Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine"
23/11/2023 Duration: 13minWanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.
-
Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023
21/11/2023 Duration: 21minTakwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu muhimu.
-
Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko
18/11/2023 Duration: 11minWakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.
-
Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023
17/11/2023 Duration: 19minWaziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.
-
Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023
14/11/2023 Duration: 18minSerikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.
-
Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi
14/11/2023 Duration: 18minShirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.