Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Krismasi huwaje nchini Australia
23/12/2023 Duration: 08minKama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.
-
Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023
22/12/2023 Duration: 16minMsaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.
-
Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko
22/12/2023 Duration: 07minKiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye thamani ya miezi kadhaa.
-
Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"
19/12/2023 Duration: 16minWagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.
-
Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023
19/12/2023 Duration: 18minMvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.
-
Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland
19/12/2023 Duration: 07minMamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.
-
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023
18/12/2023 Duration: 07minBaadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.
-
Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"
15/12/2023 Duration: 16minShirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.
-
Mbinu tano zaku leta chakula chaki asili kwenye sahani yako ya sherehe
15/12/2023 Duration: 09minKuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.
-
Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023
15/12/2023 Duration: 22minBunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.
-
Mageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa
12/12/2023 Duration: 10minSerikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.
-
Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023
12/12/2023 Duration: 17minSerikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.
-
Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
11/12/2023 Duration: 11minMsimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.
-
Taarifa ya Habari 11 Disemba 2023
11/12/2023 Duration: 07minWaziri wa mambo ya ndani Clare O'Neil amesema, kupunguzwa kwa mapokezi ya wahamiaji kuta unda sehemu ya mkakati mpya wa uhamiaji wa serikali.
-
Gilbert afunguka kuhusu mchezo wa handball
08/12/2023 Duration: 07minWatu wenye asili ya Afrika, wana julikana kwa umahiri wao waku cheza, soka, mchezo wavikapu, ndondi na riadha.
-
Taarifa ya Habari 8 Disemba 2023
08/12/2023 Duration: 19minMajimbo kadhaa yame wekwa katika tahadhari ya juu ya moto wa vichaka, mazingira ya joto kali yakitabiriwa wikendi hii.
-
Taarifa ya Habari 7 Disemba 2023
08/12/2023 Duration: 06minNaibu kiongozi wa chama cha Liberal Sussan Ley ameomba serikali ya Albanese, iwaombe wa Australia msamaha wakati serikali ya Labor inazingatia kuwakamata tena watu ambao si raia walio achiwa hivi karibuni kutoka vizuizi vya uhamiaji, ambao huenda wakawa tisho kwa usalama wa jamii.
-
Makubaliano ya Uingereza na Rwanda kuhusu waomba hifadhi mashakani
08/12/2023 Duration: 07minWaziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amewataka wabunge wa chama chake cha Conservative siku ya Alhamisi kuunga mkono mpango wake wa kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi.
-
George afunguka kwa nini alikimbia kutoka Adelaide hadi Melbourne
07/12/2023 Duration: 19minGeorge Chijarira ni mwanachama wa jumuiya ya watanzania wanao ishi Melbourne, Victoria.
-
Taarifa ya Habari 5 Disemba 2023
05/12/2023 Duration: 14minSerikali ya shirikisho inatarajiwa kuwasilisha mageuzi ya muswada wiki hii, kwa ajili yaku kabiliana na utata ambao ume ibuka baada ya uamuzi wa mahakama kuu ambayo ili toa hukumu kuwa kifungo ndani ya vizuizi vya uhamiaji ni kinyume ya sheria.