Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu "
23/02/2024 Duration: 06minShirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.
-
Taarifa ya Habari 22 Februari 2024
22/02/2024 Duration: 07minUhaba wa ushindani sokoni waifanya serikali ya shirikisho izindue uchunguzi wa swala hilo.
-
Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni
21/02/2024 Duration: 11minMoja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.
-
Taarifa ya Habari 20 Februari 2024
20/02/2024 Duration: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.
-
Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa
20/02/2024 Duration: 09minKuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.
-
Taarifa ya Habari 19 Februari 2024
19/02/2024 Duration: 06minWaziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.
-
Taarifa ya Habari 16 Februari 2024
16/02/2024 Duration: 17minUpinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.
-
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako
16/02/2024 Duration: 11minMiongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
-
Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako
16/02/2024 Duration: 11minMiongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.
-
What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?
14/02/2024 Duration: 10min"Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama kubwa zaidi nje ya Asia.
-
Taarifa ya Habari 13 Februari 2024
13/02/2024 Duration: 18minSerikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.
-
Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia
13/02/2024 Duration: 07minIdadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 9 Februari 2024
09/02/2024 Duration: 18minUchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.
-
Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji
09/02/2024 Duration: 11minMashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
-
Taarifa ya Habari 8 Februari 2024
09/02/2024 Duration: 06minWaziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.
-
Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji
06/02/2024 Duration: 10minFebruari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
-
Taarifa ya Habari 6 Februari 2024
06/02/2024 Duration: 21minWaziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.
-
Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao
03/02/2024 Duration: 10minNi nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 2 Februari 2024
02/02/2024 Duration: 18minAustralia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.
-
Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi
02/02/2024 Duration: 06minWakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharama kubwa za miadi.