Synopsis
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Episodes
-
Mwaharakati wa masuala ya vijana Morfat Mutero wa Mombasa nchini Kenya anaelezea namna anavyosaidia vijana kujikomboa katika umaskini? - Januari 17, 2025
17/01/2025 Duration: 30minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Shabani Mukere akiwa mji wa Busia anaeleza umuhimu wa vijana Afrika mashariki kujitolea katika zoezi la kuchangia damu pale inapohitajika. - Januari 16, 2025
16/01/2025 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Januari 15, 2025
15/01/2025 Duration: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mmoja wa wanafunzi jijini Nairobi anaelezea mgomo wa wahadhiri katika chuo kikuu cha ufundi Kenya (TUK) unavyowapa changamoto wanafunzi hao. - Januari 14, 2025
14/01/2025 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wanawake 660,000 waligunduliwa na saratani ya shingo ya kizazi mwaka 2022 na wanawake 350,000 walifariki kwa ugonjwa huo kulingana na WHO. - Januari 13, 2025
13/01/2025 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wito watolewa kwa wazazi kutoiachia serikali mapambano na dawa za kulevya Tanzania - Januari 10, 2025
10/01/2025 Duration: 29minWito watolewa kwa wazazi kutoiachia serikali mapambano na dawa za kulevya Tanzania
-
Mmoja wa vijana wa DRC anaelezea maandamano yanayofanyika mashariki mwa nchi namna yanavyowaathiri vijana kiuchumi na kisiasa. - Januari 09, 2025
09/01/2025 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Kenya na Burkinafaso zapewa nafasi kubwa kuchukua kombe la Mapinduzi - Januari 08, 2025
08/01/2025 Duration: 29minKenya na Burkinafaso zapewa nafasi kubwa kuchukua kombe la Mapinduzi
-
Matokeo ya mitihani ya kidato cha pili Tanzania watalaam watoa maoni yao - Januari 07, 2025
07/01/2025 Duration: 29minMatokeo ya mitihani ya kidato cha pili Tanzania watalaam watoa maoni yao
-
VOA Express - Januari 06, 2025
06/01/2025 Duration: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mtaalamu wa masuala ya kielektroniki anaelezea iwapo matumizi ya vifaa hivyo kwa watoto na vijana yanawajenga au kubomoa? - Januari 03, 2025
03/01/2025 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mdau wa masuala ya utalii Zanzibar anaeleza namna Sauti za Busara na ZIFF zinavyowahamasisha vijana kwenye matamasha ya muziki na utamaduni - Januari 02, 2025
02/01/2025 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Januari 01, 2025
01/01/2025 Duration: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea changamoto za kimaisha zilizokuwepo mwaka 2024 ikijumuisha migogoro ya kisiasa na kiuchumi. - Desemba 31, 2024
31/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mmoja wa wanawake kutoka Afrika mashariki Winnie Miseda anazungumzia mchango wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter barani Afrika. - Desemba 30, 2024
30/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mdau wa masuala ya utalii kutoka Zanzibar, Edwin George anaelezea sekta hiyo ulivyoimarika na kufungua fursa za ajira kwa vijana. - Desemba 27, 2024
27/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mmoja wa wazazi huko Tanzania anatoa maoni yake kufuatia tabia ya baadhi ya wazazi kuwaacha watoto peke yao majumbani au maeneo ya michezo. - Desemba 26, 2024
26/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Sherehe za krisimasi katika uchumi mgumu - Desemba 25, 2024
25/12/2024 Duration: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
Wakaazi katika eneo la Afrika mashariki wanaelezea maandalizi ya mkesha wa sikukuu ya Krismas - Desemba 24, 2024
24/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea maandalizi ya sherehe za Krismas katika maeneo yao. - Desemba 23, 2024
23/12/2024 Duration: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.