Habari Rfi-ki
Kenya: Uporoja wa pesa za bima afya kizungu mkuti
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:58
- More information
Informações:
Synopsis
Shaba yetu inalenga Nchini Kenya, ambapo madai ya kupora kwa pesa za bima ya afya ya serikali yanaendelea kutatiza utowaji wa huduma ya afya hili likiwaathiri raia wa kawaida. Mskilizaji nchini mwako huduma za afya ni nafuu na bora, au bado wananchi wa kawaida wanahangaika kupata matibabu. Skiza maoni ya waskilizaji wetu