Habari Za Un
Baa la njaa kuthibitishwa Gaza, Guterres asema, huku ni kushindwa kwa ubinadamu
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:01:58
- More information
Informações:
Synopsis
Zaidi ya nusu milioni ya watu huko Gaza wameripotiwa kukumbwa na baa la njaa, hali ambayo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameielezea kuwa “janga lililosababishwa na mwanadamu, shutuma ya kimaadili na kushindwa kwa ubinadamu.”Flora Nducha na taarifa zaidi