Habari Za Un

HLPF 2025: Jukwaa la UN kuangazia afya, usawa wa kijinsia na bahari katika juhudi za kufanikisha SDGs

Informações:

Synopsis

Jukwaa la Kisiasa la Ngazi ya Juu la Maendeleo Endelevu, HLPF la mwaka huu wa 2025 limeanza leo hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ambapo wadau kutoka katika nyanja mbalimbali duniani wanakutana kujadili namna ya kuharakisha utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs. Anold Kayanda na maelezo zaidi.