Habari Za Un
Wanaosaka huduma za kusafisha damu katika ukanda wa Gaza matatani
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:01:56
- More information
Informações:
Synopsis
Amri mpya za kuhama zinazotolewa na jeshi la Israeli kwa wakazi wa Gaza walioko eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli zinazidi kuhatarisha maisha ya makumi ya maelfu ya watu ambao wameshahama mara kadhaa, wakiwemo wagonjwa wanaotakiwa kupata huduma za kusafisha damu mwilini kila wiki. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.