Habari Za Un

Viongozi wa Afrika watambue wao ni watumishi wa wananchi - Kennedy Odede

Informações:

Synopsis

Mapema kabla ya kushiriki hafla hii ya utoaji wa tuzo katika siku hii ya kimataifa ya Nelson Mandela hapa New York, Kennedy Odede alizungumza na Zipporah Musau wa Umoja wa Mataifa.