Habari Za Un
Kazi yetu siyo kuhamisha tu chakula - Idara ya Ugavi WFP Uganda
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:01:39
- More information
Informações:
Synopsis
Licha ya changamoto za ufadhili, Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini Uganda linasisitiza umuhimu wa usafirishaji katika kutoa msaada wa chakula. Sahir Aslam, Mkuu wa Idara ya Ugavi ya WFP Uganda, akizungumza kutokea huko huko Uganda katika maghala ya shirika hilo anafafanua kila kilomita moja ambayo msaada wa chakula wa WFP unasafiri.