Habari Za Un
Toa msaada kupitia Careem App ili WFP izidi kuwasaidia Wapalestina Gaza
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:01:35
- More information
Informações:
Synopsis
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, kupitia Apu yake ya kidigitali Gawa Chakula au ShareTheMeal, limeingia ushirikiano na Apu maarufu huko Mashariki ya Kati iitwayo Careem na kuzindua kampeni ya kuchangisha msaada wa dharura kwa watu wanaokumbwa na njaa katika eneo la Gaza na Ukingo wa Magharibi maeneo yanayokaliwa kimabavu na Israeli. Leah Mushi na taarifa zaidi