Habari Za Un
Umwagiliaji kwa kutumia nishati ya sola waleta matumaini kwa wakulima wa Sidama nchini Ethiopia
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:02:19
- More information
Informações:
Synopsis
Mradi unaoendeshwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Ethiopia, Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), ubalozi wa China wa kutumia nishati jadidifu ya jua kwa umwagiliaji, umeleta matumaini mapya kwa jamii za wakulima katika mkoa wa Sidama, kusini mwa Ethiopia. Sharon Jebichii na taarifa zaidi.