Habari Za Un

Watoto zaidi ya 640,000 wako hatarini kufuatia mlipuko wa kipindupindu Darfur

Informações:

Synopsis

Zaidi ya watoto 640,000 walio na umri wa chini ya miaka mitano wapo hatarini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu huko Kaskazini mwa Darfur, nchini Sudan. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Selina Jerobon