Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 18 Aprili 2023
18/04/2023 Duration: 18minWaziri wa National Disability Insurance Scheme almaarufu NDIS, ametoa hotuba katika klabu ya waandishi wa habari wa taifa, kuelezea umuhimu wakufanya mageuzi katika mfumo huo.
-
Victor "tuna mipango maalum kwa vijana wa Kitwek"
18/04/2023 Duration: 06minNi jambo la kawaida kwa jamii nyingi kuanzisha shirika, linalo wawakilisha nakutoa huduma wanazo hitaji nje ya huduma zinazo tolewa na mashirika makubwa.
-
Taarifa ya Habari 16 Aprili 2023
16/04/2023 Duration: 18minSauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, itasaidia jamii zawa Australia wa kwanza kuishi maisha kikamilifu seneta wa Labor wa Wilaya ya Kaskazini aeleza vyombo vya habari.
-
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2023
11/04/2023 Duration: 18minKaimu Waziri Mkuu Penny Wong, na waziri wa biashara Don Farrell, wame thibitisha kuwa serikali ya shirikisho imefikia maafikiano na Beijing, kwa suluhu ya mgogoro wakibiashara wa shayiri.
-
Vikomo vya ongezeko ya kodi ya nyumba vyatupiliwa mbali NSW, wakati kodi zikiendelea kuongezeka Australia
11/04/2023 Duration: 06minWapangaji jimboni New South Wales hawata hisi maramoja afueni yoyote, kutoka ongezeko ya kodi baada ya kiongozi wa jimbo hilo Chris Minns kutupilia mbali kikomo kwa ongezeko za kodi.
-
Taarifa ya Habari 9 Aprili 2023
09/04/2023 Duration: 18minMaelfu ya watu wameadhimisha ibada ya Pasaka, ndani ya makanisa kote nchini. Waumini wana adhimisha kufufuka kwa Yesu Kristo, kulingana na maandishi ya Biblia takatifu.
-
Ps Ngugi "Siku hizi watu wamekosa muda wakushiriki katika ibada"
09/04/2023 Duration: 10minNyumba nyingi za ibada kote duniani hufurika wakati wa pasaka, hali ambayo ni tofuati na wakati mwingine wa mwaka.
-
Umepata faini? Hivi ndivyo unastahili fanya kuilipa na kuepuka madhara makubwa yakutofuata sheria
09/04/2023 Duration: 10minWatu wengi nchini Australia hawa elewi madhara yakupuuza faini ni gani.
-
Taarifa ya Habari 4 Aprili 2023
04/04/2023 Duration: 19minMaafisa wa ngazi za juu wa Australia wamekutana na washiriki wao kutoka China mjini Beijing, kujadili vikwazo vyaki biashara vinavyo endelea katika ishara mpya yakuboresha diplomasia.
-
Amedee bado tuna safari ndefu kisiasa barani Afrika
03/04/2023 Duration: 12minWakaazi wa New South Wales walishiriki katika uchaguzi ulio bandua serikali mamlakani.
-
Taarifa ya Habari 2 Aprili 2023
02/04/2023 Duration: 17minKiongozi wa Victoria amesema kushindwa kwa chama cha Liberal katika chaguzi dogo la Aston, kume onesha wapiga kura wanaendelea kutupilia mbali aina chafu ya siasa.
-
Albanese aunga mkono ongezeko ya mshahara kwa wafanyakazi wa pato la chini
02/04/2023 Duration: 08minSerikali ya shirikisho imependekeza wafanyakazi wenye pato la chini nchini Australia, waongezewe mshahara ila, serikali haija sisitiza kuwa ongezeko hilo la mshahara liwe sambamba na mfumuko wa bei.
-
George "Kenya iko katika hatari yakutokomea"
29/03/2023 Duration: 11minJiji la Nairobi, Kenya kwa mara nyingine lime shuhudia mapambano makali kati ya jeshi la polisi na waandamanaji wanao taka serikali ishughulikie ongezeko la gharama ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 28 Machi 2023
28/03/2023 Duration: 18minMazungumzo kati ya serikali ya shirikisho ya Labor na chama cha Greens, yanaendelea kuhusu muswada wa mfuko wa uwekezaji wa usoni wa nyumba nchini Australia. Chama cha Greens na wabunge wengine huru, wameomba muswada huo uimarishwe kwa uwekezaji wa ziada kwa nyumba zajamii nawapangaji.
-
Labor yashinda uchaguzi wa NSW, nakusitisha miaka 12 katika upinzani
28/03/2023 Duration: 08minLabor imekamilisha kinacho julikana kama ushindi thabiti wakisiasa katika bara zima la Australia, baada ya matokeo ya uchaguzi wa New South Wales.
-
Ramadan na Eid ni nini na huwa zina adhimishwa aje nchini Australia?
27/03/2023 Duration: 10minJe! ushawahi jiuliza umuhimu wa Ramadan na Eid ni nini katika utamaduni waki Islamu? Na sherehe hizi zina umuhimu gani kwa marafiki, majirani na watu unao fanyakazi nao ambao niwa Islamu?
-
Taarifa ya Habari 26 Machi 2023
26/03/2023 Duration: 20minJimbo la Kusini Australia limekuwa jimbo la kwanza nchini, kutunga sheria kwa uwepo wa sauti yawa Australia wakwanza bungeni.
-
Esther "bado tuna kazi ya ziada katika harakati zakutetea haki za wanawake"
15/03/2023 Duration: 14minHarakati zakutetea haki za wanawake zime dumu kwa zaidi ya miaka 112, licha ya mafanikio ambayo wanaharakati wame pata bado wana hisi kuna kazi ya ziada katika kampeni yao.
-
Taarifa ya Habari 14 Machi 2023
14/03/2023 Duration: 19minMawaziri wa ngazi ya juu katika serikali yamadola, waongeza juhudi kutuliza wasiwasi kandani kuhusu Australia kupata manowari zinazo tumia nguvu ya nyuklia.
-
Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia
14/03/2023 Duration: 12minKuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.