Changu Chako, Chako Changu

Historia ya uundwaji wa kikosi cha uundwaji wa kulinda amani nchini DRC Monusco

Informações:

Synopsis

Ali Bilali nashikilia usukani hapa kukuletea Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo tunasafiri pamoja Jumapili ya leo hadi kule DRC kuzungumzia Historia ya uundwaji ya tume ya Umoja wa Mataifa nchini DRC na Kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Aslay kutoka nchini Tanzania, Karibu ama Bienvenue.