Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
kukamatwa kwa makamu wa kwanza wa rais Sudan Kusini, waasi wa M23 waalikwa Doha
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:20:09
- More information
Informações:
Synopsis
Ni juma ambalo limeshuhudia kukamatwa kwa makamu wa kwanza wa rais wa sudan Kusini Riek Machar na kuzuiwa nyumbani kwake, rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye wiki hii aliishutumu Rwanda kwa kupanga kuishambulia nchi yake, waasi wa M23 kukutana na Kiongozi wa Qatar kule Doha,afisa wa polisi ya Kenya kule Haiti kutoweka, utawala wa kijeshi kule Niger kuzindua kipindi cha mpito cha miaka mitano, pia mashambulio ya Israeli kule Lebanon na mkutano wa Ulaya kuhusu Ukraine