Sbs Swahili - Sbs Swahili

Akram:"Tuko hapa kushinda kombe"

Informações:

Synopsis

Vijana wanao wakilisha Jamhuri ya Congo katika kombe la Afrika la New South Wales, wame jipa fursa yakufuzu kwa robo fainali ya kombe hilo.