Sbs Swahili - Sbs Swahili

Hoja ya the Voice yamwondoa Seneta Lidia Thorpe katika chama cha Greens

Informações:

Synopsis

Seneta maarufu wa chama cha Greens amejiuzulu kutoka chama chake, kwa ajili yakufuatilia uhuru wa weusi.