Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 28 Machi 2023

Informações:

Synopsis

Mazungumzo kati ya serikali ya shirikisho ya Labor na chama cha Greens, yanaendelea kuhusu muswada wa mfuko wa uwekezaji wa usoni wa nyumba nchini Australia. Chama cha Greens na wabunge wengine huru, wameomba muswada huo uimarishwe kwa uwekezaji wa ziada kwa nyumba zajamii nawapangaji.